Discussion

...................................................

...................................................

...................................................

...................................................

kibongobongo mpango mzima

kibongobongo mpango mzima

SIKILIZA AUDIO NA KUTAZAMA VIDEO MPYA YA LINAH _ OLE THEMBA

Posted in
No comments
Thursday, July 17, 2014 By Unknown

40lnh


Nafasi ya muziki wa Tanzania kupenya inazidi kuonekana na hii ni baada ya wasanii kadhaa akiwemo Diamond na Shettah kufanya video na Director God Father huyu anaingia kwa list ya wasanii waliopata nafasi ya kumulikwa na kamera za muongozaji God Father.
Wiki chache Linah alianza kupost vipande vya picha na video ambayo wengi tulikua tukiona tu maandishi yanayosema inakuja,leo baada ya futari THT Linah ameitumia nafasi hiyo kutambulisha rasmi video na audio ya wimbo huu.
Mtu wa kwanza kuinunua video hii ambaye ameingia kwa rekodi ni Cloud kutoka Bongo Movie ambaye alipoiona tu akatoa pesa akainunua,wapili ni Mrisho Mpoto ambaye nae hakutaka kusubiri zaidi.
Linah ameagwa rasmi na uongozi wa THT baada ya kupata uongozi mpya utakaoanza kumsimamia kazi zake ambazo kwa utangulizi wameanza na kazi hiyo iliyofanyika South Africa kuanzia audio hadi video na kampuni hiyo inaitwa No Fake Zone Entartainment.
Bonyeza play kusikiliza audio na kudownload.
Bonyeza play kuitazama video hii hapa chini:

Related posts

0 comments:

About the Author

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Donec auctor arcut pretium consequat.

Proudly Powered by Blogger.