VIDEO: MUANGALIE SHAA_TZ AKIJIBU MASWALI YA FACEBOOK ALIYOULIZWA NA SHABIKI ZAKE.
Posted in
No comments
Thursday, July 17, 2014 By Unknown
Shaa akiwa kwenye show ya Clouds E ya Clouds TV alipata nafasi ya kujibu maswali ambayo yaliulizwa na mashabiki wake kupitia facebook. Baadhi ya maswali aliyoulizwa ni kuhusu picha za watoto anazo post instagram,mahusiano yake na mambo mengine.
Related posts
Share this post
0 comments: