DIAMOND PLATINAMZ ATOKA NA WALIMBWENDE WAWILI KUTOKA KENYA.
Posted in
No comments
Friday, December 13, 2013 By Unknown
Msanii wa mziki wa kizazi kipya aliye shikilia soko la mziki wa bongo flava sasa mbioni kutoa video yake ambayo atakua na walimbwende wawili kutoka Kenya kama MA- QUEEN katika video hiyo. Hii imewekwa wazi kupitia page yake ya facebook ambapo amepost picha inayowaonyesha warembo hao huku ikiwa na ujumbe ulioandikwa, "JE DIAMOND ATAENDA FOR A DATE WITH ONE OF THESE KENYAN FLOWERS? wait for the video......"
Related posts
Share this post
0 comments: