Discussion

...................................................

...................................................

...................................................

...................................................

kibongobongo mpango mzima

kibongobongo mpango mzima

KEVIN HART, ICE CUBE NA CANON NYUMBA MOJA.

Posted in
No comments
Thursday, December 12, 2013 By Unknown

Kevin Hart mwigizaji na mchekeshaji maarufu kutoka Marekani pamoja na wenzake Ice Cube ambaye ni msanii wa HIP HOP toka Marekani aliyetamba toka enzi za tisini ambaye pia ni mwigizaji mkongwe wakishirikiana na Comedian Canon, leo wameibua vituko baada ya kupost video yao katika mtandao wa YOUTUBE iliyotambulishwa kwa jina la LYFT CAR. Kama inahusu bofya link hapo chini uone vibweka vya magwiji hawa wakifanya yao. Ni full kuvunja mbavu aysee.......

Related posts

0 comments:

About the Author

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Donec auctor arcut pretium consequat.

Proudly Powered by Blogger.