GARI JIPYA KUTOKA AZAM AMBALO NDANI YAKE KUNA TV, CHOO, FRIJI NA MAMBO MENGINE KIBAO. HEBU TIZAMA HAPA.
Posted in
No comments
Tuesday, December 31, 2013 By Unknown

Hakuna Afrika nzima; Basi jipya la wachezaji wa klabu ya Azam FC ya Dar es Salaam, lililowasili nchini juzi likiwa tayari kusafirishwa visiwani Zanzibar ambako timu hiyo imekwenda kushiriki Kombe la Mapinduzi.
Hili ni aina ya mabasi ambayo yanatumiwa na klabu za Ulaya kama Manchester United, Bayen Munich na Barcelona ambalo kwa Afrika Azam inaweza kuwa klabu ya kwanza kulimiliki.
![]() |
Kitu cha maana |
![]() |
Kila siti ina TV |
![]() |
Kuna friji |
![]() |
Kuna choo Habari: D'Jaro Arungu |
Related posts
Share this post
0 comments: