Discussion

...................................................

...................................................

...................................................

...................................................

kibongobongo mpango mzima

kibongobongo mpango mzima

MAMA MKWE AKIMBIA NA PESA ZA MICHANGO YA HARUSI YA MWANAE..!! KWELI PESA HAINA UNDUGU..!!

Posted in
No comments
Tuesday, December 31, 2013 By Unknown

http://www.theclicktz.com/p/blog-page.html

Mama ambaye aliaminika na kuwekwa kama mweka hazina kwenye harusi ya mwanae hapa jijini dar es salaam, imani ilimtoka pale alipojikuta anafungu kubwa la kama milioni nane kama michango ya harusi ya mwanae iliyokuwa ifanyike siku chache, baada ya kikao cha mwisho mama huyo alikuwa tayari ameshakusanya michango ya kutosha. Kwenye vikao mama huyo alikuwa akisema kuwa ameshalipia baadhi ya vitu kama ukumbi, mc, na chakula, kumbe vyote ilikuwa ni uongo baada ya kikao hicho cha mwisho mama huyo alizima simu, nakupotea kabisa. Baadae ilisemakana kuwa alikimbilia China kwenda kula bata.

Habari: CLICKTZ

Related posts

0 comments:

About the Author

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Donec auctor arcut pretium consequat.

Proudly Powered by Blogger.