ANGALIA HABARI PICHA ZIKIONYESHA TUKIO ZIMA LA KUUAGA MWILI WA ALIYEKUWA MUIGIZAJI WA BONGO MOVIE, RACHEL LEO HAULE KUTOKA VIWANJA VYA LEARDERS MPAKA MAHALI ALIPOZIKWA KATIKA MAKABURI YA KINONDONI.
Posted in
No comments
Thursday, May 29, 2014 By Unknown
Muigizaji
kutoka kiwanda cha filamu Bongo Rachel Haule leo amezikwa kwenye
makaburi ya Kinondoni Dar es salaam kabla ya mazishi kulikua na ibada
iliyoambatana na watu kutoa heshima za mwisho kwenye viwanja vya
Learders.
Waigizaji,waimbaji
pamoja na wananchi wamejumuika katika safari hii ya mwisho kumsindikiza
Rachel Haule,miongoni mwa vitu vilivyoteka hisia za watu ni kudondoka
na kupoteza kwa filamu kwa muigizaji Irene Uwoya kisha kukimbizwa
hospitali.
Rachel
haule amezikwa na kichanga chake ambacho kilipoteza maisha baada ya
kuzaliwa hivyo kaburi la Recho limekuunganishwa na marehemu mtoto wake,
Hizi ni miongoni mwa picha za mazishi haya.
































































































































































Related posts
Share this post
0 comments: