Discussion

...................................................

...................................................

...................................................

...................................................

kibongobongo mpango mzima

kibongobongo mpango mzima

HATIMAYE GUARDIOLA AMEMUOA MWANAMKE AMPENDAYE AMBAYE NDIYE ALIYEZAA NAYE WATOTO WATATU.

Posted in
No comments
Thursday, May 29, 2014 By Unknown

2,w=650,c=0.bild 

Hatimaye kocha wa klabu bingwa ya Ujerumani Bayern Munich, Pep Guardiola amefunga ndoa na mchumba wake wa muda mrefu Cristina Serra leo hii, na bosi huyo wa Bayern na mchumba wake waaliamua kufanya ndoa hiyo kwa kawaida kabisa bila shamra shamra zozote.

Ndoa hiyo imefungwa kiserikali huko Matadepera, Catalonia, Spain. Pep na mchumba wake Cristina, kwa pamoja na watoto wao watatu na wazazi wao, walifanya sherehe ndogo kuhalalisha mapenzi yao. Tazama picha hapo chini namna ndoa ya Guardiola ilivyokuwa

o_MDSIMA20140529_0125_1

Guardiola mwenye shati la kaki na mkewe Cristina mwenye suruali nyeusi pamoja kti jekundu wakisindikizwa na ndugu zao kwenda kufunga ndoa.

i_MDSIMA20140529_0126_1

Related posts

0 comments:

About the Author

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Donec auctor arcut pretium consequat.

Proudly Powered by Blogger.