NANI KAMA DIAMOND, AONYESHA UPENDO KWA MASHABIKI ZAKE
Posted in
No comments
Wednesday, January 1, 2014 By Unknown
Napenda nitoe pole za dhati kabisa kwa binti huyu
mdogo,aliyepata majeraha usoni wakati akijaribu kupata nafasi ya
kunishuhudia..yote ni kutokana na msongamano mkubwa wa watu uliokuwepo..
NAWAPENDA MASHABIKI WANGU..NAWAPENDA SANA WATOTO WOTE
Related posts
Share this post
0 comments: