Discussion

...................................................

...................................................

...................................................

...................................................

kibongobongo mpango mzima

kibongobongo mpango mzima

DUH, MARTINE KADINDA AMUITA LULU MICHAEL NYAU, SOMA KISA CHA KUFANYA HIVYO HAPA

Posted in
No comments
Friday, April 18, 2014 By Unknown

Mwanamitindo maarufu Bongo, Martin Kadinda amempongeza Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwa kumuita nyau. Martin alifanya ishu hiyo wakati akimtakia Lulu Happy Birthday Aprili 16 ambapo mwanadada huyo alikuwa akitimiza umri wa miaka 19.
 Mwandishi wetu alipomhoji kuhusiana na kumuita nyau, Martin alifunguka: “Yule kwangu ni mdogo, nimemlea tangu akiwa anasoma sekondari pale Perfect Vision Ubungo, nimetumia neno nyau kama utani lakini nikimaanisha mdogo kwangu.

Related posts

0 comments:

About the Author

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Donec auctor arcut pretium consequat.

Proudly Powered by Blogger.