HUYU NDIYE MWANAMKE WA KIBONGO ALIYEKAMATWA HUKO LONDON AKIFANYA MAPENZI HADHARANI
Posted in
No comments
Saturday, April 26, 2014 By Unknown
Imefahamika kwamba Shilla msichana wa kibongo aliyeko Rumande huko London/UK kwa makosa ya kufanya mapenzi in the public kumbe ni By-Sexual yaani ni msichana anayependa kufanya mapenzi na wanawake wenziwe na wanaume pia.
Habari hizo kutoka huko jela zinasema kwamba msichana huyu wa kibongo ambaye ameishi huko kwa muda wa Takribani Miaka zaidi ya 10 alianza kujifunza tabia hizo akiwa huko na mpaka kufikia sasa ambapo ni gwiji kabisa wa vitendo hivyo ambavyo nchini Uganda adhabu yake ni Kifungo cha maisha. Hatma ya msichana huyo mpaka leo bado kujulikana lakini inasemekana kuna uwezekano mkubwa wa kurudishwa bongo na Serikali hiyo. Stay tuned!!
Related posts
Share this post
0 comments: