MAMA ALIYEUGUA UGONJWA WA MZIKI
Posted in
No comments
Sunday, April 20, 2014 By Unknown
Bi. Susan Root amekuwa akiugua ugonjwa wa muziki
kucheza kwenye bongo lake kwa miaka mitatu
mfululizo.
Bi Susan Root ahangaishwa na muziki bongoni
Kibao ambacho Bi susan anakisikia kikicheza ni
kibao 'How Much is that Doggie in the Window'
cha Mwanamuziki Patti Page kilichokuwa maarufu
miaka ya 50.Wataalam wanasema huu ni ugonjwa
ujulikanao kama Tinnitus- Ugonjwa unaosababisha
muziki au sauti uliyosikia utotoni ikijicheza
akilini.

Habari: BBC.
Related posts
Share this post
0 comments: