KAULI YA WEMA JUU YA WALE WALIOMUONGELEA VIBAYA JU YA TUZO ALIYOSHINDA KAMA SEXIEST GIRL.
Posted in
No comments
Tuesday, April 22, 2014 By Unknown
Tangu akabidhiwe tuzo yake ya Ijumaa sexiest girl, Mrembo Wema Isaac
Sepetu 'Beautiful Onyinye' tayari inaonekana ameshakutana na negative
comments baada ya kushinda hiyo tuzo.
Wema Sepetu ameibuka mshindi katika shindano la Ijumaa Sexiest Girls akiwabwaga Lulu, Nelly, Wolper, Jokate.
Wema ametumia ukurasa wake wa instagram kutoa yaliyo moyoni mwake na ameandika,
“If u got it flaunt it….. Ndo nshashinda…. kama hujapenda kasage chupa kunywa…. maana naona sasa its too much khaaaaaaaa.!
“If u got it flaunt it….. Ndo nshashinda…. kama hujapenda kasage chupa kunywa…. maana naona sasa its too much khaaaaaaaa.!
Ebu
mnitue mie mtoto wa watu… And again much love to y’all dat support me…
nawapenda sana…. nimemaliza…. Award yangu ndo hiiiiiiiiooooooooo…… next
year tusubiri mwingine.
Nalala zangu…. tukutane kesho…. najua wengi mnanipenda ni wachache wenye vijiba vyao vya roho…. Wema atabaki kuwa Wema tu… Bhaaaaas.”
Nalala zangu…. tukutane kesho…. najua wengi mnanipenda ni wachache wenye vijiba vyao vya roho…. Wema atabaki kuwa Wema tu… Bhaaaaas.”
Related posts
Share this post
0 comments: