Discussion

...................................................

...................................................

...................................................

...................................................

kibongobongo mpango mzima

kibongobongo mpango mzima

PAPPER ANDRE JOHNSON ALIYEJIKATA UUME KWA MAKUSUDI, MADAKTARI WASHINDWA KUMUUNGANISHA KIUNGO HICHO

Posted in
1 comment
Friday, April 18, 2014 By Unknown



Rapper mwenye uhusiano na kundi la Wu-Tang Clan, Andre Johnson hana tena kiungo kinachomfanya aitwe mwanaume kwakuwa madaktari wameshindwa kuunganisha.

Mtandao wa TMZ uliandika kuwa Johnson aka Christ Bearer aliukata uume wake jana Jumatano na kujirusha kwenye nyumba ya ghorofa mbili anakoishi huko North Hollywood kwa kile kinachodaiwa kutaka kujiua. Alikimbizwa kwenye hospitali ya Cedars-Sinai Medical Center lakini uume wako umedaiwa kukatika kabisa.

Johnson/Christ Bearer ni member wa kundi liitwalo Northstar, lilioanzishwa na rapper Wu-Tang Clan, RZA. Kulikuwepo na rappers wengine kwenye tukio hilo waliokanusha kuwepo na madawa ya kulevya kiasi cha kumfanya achukue uamuzi huo. Wanaamini kuwa Johnson/Christ Bearer anaweza kuwa na matatizo ya kiakili.

Related posts

1 comment:

  1. wakati mwingine tunatakiw akuwa na hekima kwa kutenda mambo ya msingi katika jamii hasa pale tunapotumika kama picha mbele ya umati

    ReplyDelete

About the Author

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Donec auctor arcut pretium consequat.

Proudly Powered by Blogger.