ANGALIA PICHA SITA (06) ZA MAANDAMANO YA WANACHUO WA SAUT HUKO MTWARA MAY 26
Posted in
No comments
Friday, May 30, 2014 By Unknown
Wanachuo
wa chuo cha saut tawi la mtwara leo wameandamana mpaka kwa mkuu wa
mkoa wa Mtwara kutaka ufumbuzi juu ya mikopo yao kama wanachuo kutoka
kwenye bodi ya mikopo.
Madai yao kwa sasa ni miezi 4 hawajalipwa ndipo wakaamua kuandamana maandamano ambayo hayakuwa rasmi hivyo jeshi la polisi mkoa wa mtwara likaingilia kati na kuzima maandamano hayo yaliyoanza mchana majira ya saa 8 mpaka saa 1o.
Related posts
Share this post
0 comments: