UNAJUA NAMNA JESHI NCHINI BRAZIL WALIVYOJIPANGA KUPAMBANA NA MADAWA YA KULEVYA KATIKA KOMBE LA DUNIA. SOMA HII
Posted in
No comments
Friday, May 30, 2014 By Unknown
Hivi
sasa kazi ya jeshi nchini Brazil sio kwa ajili ya vita tu, bali pia
linajiandaa katika mapambano makali dhidi ya wasambazaji pamoja na
wauzaji wa dawa za kulevya wanaowalenga mashabiki watakohudhuria
michuanoya kombe la dunia.
Kutokana na nchi hiyo hivi sasa kujiandaa kupokea wageni wengi ambapo
takribani wageni laki sita wakiwemo elfu 10 kutoka nchini Uingereza
wakiwa ni miongoni mwa walengwa wa biashara hiyo na wauzaji wa dawa za
kulevya aina ya Cocaine.
Zaidi ya vikosi vya kijeshi elfu 30, wanamaji pamoja na vikosi vya
angani vinafanya doria katika nchi hiyo katika kina cha urefu wa Maili
elfu 10 na 500 kutoka usawa wa bahari kukabiliana na dawa za kulevya.
Related posts
Share this post
0 comments: