VERSACE WAMETOA T-SHIRT MAALUMU ZENYE NEMBO TOFAUTI KWA AJILI YA KOMBE LA DUNIA.
Posted in
No comments
Thursday, May 29, 2014 By Unknown
Kmapuni ya mavazi ya Versace wametoa T-shirts maalum kabisa kwa ajili ya kuvaliwa wakati huu wa kombe la dunia. T-shirts hizo ambazo zimeanza kuuzwa kwenye
mtandao zinauzwa kwa bei ya $690 na £410 kulingana na size na material
yaliyotumika kutengeneza.
Related posts
Share this post
0 comments: