KAULI YA VANESA MDEE KWA MAADUI ZAKE.
Posted in
No comments
Tuesday, May 6, 2014 By Unknown
Mwadada anayefanya vizuri katika music industry Vanesa Mdee ambaye siku ya tarehe 3 may mwaka huu ilikuwa siku ya historia katika mzuiki baada ya kupata tuzo ya Wimbo bora wa R & B kupitia wimbo wake wa ‘Closer’ na kuwamwaga wasanii wengine kama Lady Jay Dee, Maua na wengine. Baada ya kupata tuzo alisema,
”Namshukuru Mungu kwa kunitendea leo ni siku ya historia kwangu kiukweli.Nakumbuka wakati naanza kuimba niliambiwa naimba kizungu sana Watanzania hawatanielewa na napoteza muda wangu,lakini leo mashabiki wangu wameonyesha kuwa muziki mzuri ndiyo unapewa nafasi na siyo staili ya muziki ya msanii anaofanya.Asante Mungu mashabiki na waandaji”. alimalizia kwa kulia.
Related posts
Share this post
0 comments: