PENZI LA DIVA NA GK MTEGONI...KISA...PICHA INSTAGRAM
Posted in
No comments
Monday, May 19, 2014 By Unknown
Penzi la mastaa wetu wa bongo, Diva ambaye ni mtangazaji wa Clouds FM na King Crazy GK ambaye ni msanii wa bongo flava....Limeingia kwenye mtego baada ya Diva kuweka PICHA kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM akiwa ana KISS na mfanyakazi mwenzake a k a Handsome wa Cloudsfm....PATAMU HAPO...Kwa kuelewa kuwa picha hii ni tata, Diva aliandika maneno haya jini ya picha hiyo;
Hebu icheki picha hiyo hapa chini.......handsome boy wa cloudsfm ... My baby akiona hii Picha je? unahisi atakasirika au?! lol
Related posts
Share this post
0 comments: