SIKILIZA NA KUDOWNLOAD THE NEW SONG FROM MIKE - AHADI HAPA.
Posted in
No comments
Monday, May 19, 2014 By Unknown
Msanii anayefanya poa zaidi kwenye muziki wa Bongo flava Michael Lukindo aka Mike ambaye alitamba na wimbo wake wa kwanza ulifahamika kama ‘Likizo’ aliyomshirikisha Mwamba wa Kaskazini Joh Makini.
Kwa sasa ametoa new joint linalofahamika kwa jina la ‘Ahadi’ngoma iliyotengenezwa na producer watatu kama Chancy (Nad Records Moshi), Producer Tris (Konga Music), & Akili the brain (Akili Records).
Kwa sasa ametoa new joint linalofahamika kwa jina la ‘Ahadi’ngoma iliyotengenezwa na producer watatu kama Chancy (Nad Records Moshi), Producer Tris (Konga Music), & Akili the brain (Akili Records).
Related posts
Share this post
0 comments: