Discussion

...................................................

...................................................

...................................................

...................................................

kibongobongo mpango mzima

kibongobongo mpango mzima

MASHAMBULIZI MAPYA KENYA, 48 WAPOTEZA MAISHA.

Posted in
No comments
Tuesday, June 17, 2014 By Unknown

kenya1

Shirika la habari la BBC limeripoti kuwa, Takribani watu 48 wameuwawa baada ya kikundi kinachodaiwa kuwa cha wapiganaji wa kiislamu kushambulia hoteli na kituo cha polisi katika mji wa Pwani wa nchi hiyo, kwa mujibu wa maafisa kutoka Kenya.

kenya2

Mashuhuda wa tukio hilo wamesema kuwa walishuhudia mapigano ya risasi yaliyodumu kwa saa kadhaa pamoja na majengo kuchomwa moto.

Mji huo uko karibu na kisiwa cha Lamu ambacho ni maarufu kwa hoteli nzuri za kitalii.
LAMU
Kenya imekuwa ikikumbwa na mashambulizi ya kigaidi tangu mwaka 2011 wakati vikosi vyake vya kijeshi vilipoingia Somalia kwa ajili ya kusaidia kupambana na wapiganaji wa kikundi cha al-Shabab.
TZA MPEKETONI 3
Wakati huo huo, Ripota wa millardayo.com Kenya Julius Kipkoech ameripoti kuwa maafisa wa polisi wamefika katika eneo hilo kuondoa miili ya walioathirika na mashambulizi hayo yaliyofanywa na watu waliokuwa wamejihami kwa silaha hatari na kuvamia maeneo ya makazi ya watu, benki, kituo cha polisi na maduka kadhaaa ambayo hadi sasa yanaendelea kuteketea.

Related posts

0 comments:

About the Author

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Donec auctor arcut pretium consequat.

Proudly Powered by Blogger.