DIAMOND KWENYE TUZO ZA BET 2014 AKIHOJIWA NA GIRLFRIEND WA CHRIS BROWN. ANGALIA HAPA VIDEO.
Posted in
No comments
Tuesday, July 1, 2014 By Unknown
Karrueche Tran mrembo ambae ni mpenzi wa mwimbaji staa wa dunia Chris Brown alihusika kama mtangazaji na kuhoji watu mbalimbali waliohudhuria tuzo za BET 2014 ambazo Mtanzania Diamond Platnumz alichaguliwa kushiriki kama msanii kutoka Afrika na tuzo hiyo kuchukuliwa na Davido wa Nigeria.
Katika watu ambao Karrueche aliwahoji ni Diamond Platnumz ambae alielezea ni jinsi gani amefurahi kuwepo kwenye kuwania tuzo ya BET 2014, alimtaja msanii ambae angependa kumuona kwenye stage ndani ya usiku huu pamoja na mengine tazama kwenye hii video fupi hapa chini.
Related posts
Share this post
0 comments: