TUZO ZA DIAMOND KUZUA BALAA NYUMBANI KWA WEMA.
Posted in
No comments
Wednesday, May 7, 2014 By Unknown
Habari zilizosambaa leo kutoka Kwenye Gazeti Moja zinasema Familia ya Diamond Pamoja Na marafiki walishangazwa na Kitendo cha Diamond Kuzipeleka Tuzo Saba Alizoshinda kwa Wema Sepetu Badala ya Kuzipeleka Nyumbani Kwake...Pia inasemekana Ule Ukaribu wa Diamond na Mama Yake Siku hizi Umepungua Hata Kwenye Tuzo za Kill Mama yake Hakuudhuria Kama Kawaida yake na Tulivyomzoea....Wengine Wameanza Kusema kuwa ni Kwasababu Mama yake Hamkubali Wema Sana So siku hizi Anajitenga...Pia Dada Yake wa Hiari Halima Kimwana Hakuonekana Ukumbini kwa Kile kinachosemekana aliogopa Team Wema Kumzodoa....
Related posts
Share this post
0 comments: