BRAZUKA NA TOP MODEL WA MWEUSI.. ANAITWA HELEN DENEEN MSOMI WA HAVADI
Posted in
No comments
Sunday, June 1, 2014 By Unknown
Huyu ni moja kati ya Model ambao ni HOT sasa hivi (Dunia Nzima)...Tofauti wa hapa kwetu Helen Deneen ni msomi LEVO YA MASTAZI kutoka katika Chuo kikuu cha Howard, Marekani.
Kama ilivyo kwa ma model wengine huyu naye anajishughurisha maswala ya UIGIZAJI, UPIGAJI PICHA ZA MATANGAZO,MAGAZENE ...Jionee baadhi ya picha zake hapa....Then funguka nikufanikishie huu mchongo.
Related posts
Share this post
0 comments: