PICHA: HAWA NDIYO WASHINDI WA MTV-MAMA 2014
Posted in
No comments
Monday, June 9, 2014 By Unknown
Kwa
bahati mbaya Diamond ambaye alikuwa anawakilisha kutoka Tanzania
hakupata tuzo katika vipengele vyote viwili alivyokuwa akishindania.
Hata hivyo, Diamond ameongeza kasi na ukubwa katika muziki wake kwa show
kali aliyofanya na Davido wakiimba Number One Remix na bila shaka booking zitamiminika kwa ajili ya show za kimataifa.
Davido alishinda tuzo ya Best Male na Artist of the Yea, na kipengele
cha Best Collabo kilienda kwa Y-tjukutja – Uhuru feat DJ Buckz, Oskido,
Professor, Yuri Da Cunha.
Hii ni orodha ya waliotangazwa kuwa washindi katika vipengele vya muziki:
Song of The Year
Khona-Mafikizolo feat Uhuru
Best Collabo
Y-tjukutja – Uhuru feat DJ Buckz, Oskido, Professor, Yuri Da Cunha
Best Music Video
Clarence Peters (Nigeria)
Best Francophone
Toofan (Togo)
Artist of the Year
Davido (Skelewu)
Best Hip Hop
Sarkodie (Ghana)
Best Group
Mafikizolo
Best New Act
Stanley Enow (Cameroon)
Best Female Artist
Tiwa Savage (Nigeria)
Best Male Artist
Davido (Nigeria)
Best Altenative
Gangs of Ballet (South Africa)
*Transform Today Award- Clarence Peters
Related posts
Share this post
0 comments: